Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Naam!sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
nitafute wazee wa majanga sio?Naam!
nakula very healthy sijui mara ya mwisho kula wali lini navoupenda najitesa ila wapiIle elimu ya dini uliyopewa na wazazi wako itumie kupigana na hayo mawazo ya kulogwa. Nenda gym, punguza kula starch, kunywa maji mengi na matunda uone kama huo uchawi utakuwepo.
mkuu nikitaka mpenzi natangaza live kwani kuna shida?Hili naona tangazo la kutwambia unatafuta mpenzi ila umetumia njia nyingne
unaunguzaje mafuta ya ziada?nakula very healthy sijui mara ya mwisho kula wali lini navoupenda najitesa ila wapi
nakula very healthy sijui mara ya mwisho kula wali lini navoupenda najitesa ila wapi