you can say that again.Kwa hiyo kwa sasa umekuwa kipotabo fulani amazing?
Why not? I can say this again and again. Unajua vipotabo vinabebeka, ha ha ha you know?you can say that again.
Raha ni pale unapovaa nguo na kuona tumbo liko flat, lakini nililipia gharama hiyo, kushinda na njaa, mazoezi, kunywa maji mengi.Why not? I can say this again and again. Unajua vipotabo vinabebeka, ha ha ha you know?
Njoo nikupgishe mchaka mchaka kutwa mara tatu usipopungua basi ukamuone mshana jrnitafute wazee wa majanga sio?
Utangaze mara ngapi? Mbona ulishatangaza humu? Au mpaka tuweke link?mkuu nikitaka mpenzi natangaza live kwani kuna shida?
Ndio anataka kuwaaminisha watu hilo but indirect.Wewe Ndo huyo kwenye avator hapo?!
Niliwahi kukwambia ww hata ushindie kikombe cha maji..utanenepa tu..ndivyi mwili wako ulivyo...wala usitafute majanga maana naamini uliyapitia na hukupungua sembuse leo!!?..nitafute wazee wa majanga sio?
He!! Umeshaacha!?mazoezi nashindwa kabisa
HaahaahHili naona tangazo la kutwambia unatafuta mpenzi ila umetumia njia nyingne
ahahaa niombe radhi mkuu deo ni namba ingineHuyu mtu na Deo ni mtu na dada yake, hawaishiwi vituko kila siku.
sukari niliacha kitambo sana wala pombe sijawai kunywa maishaSikuwa nimefika huko kwako, lakini tangia nimeacha kunywa pombe, na kukata vitu vya sukari, nimepungua sana. Ilikuwa inafika wakati unataka kutoka hakuna nguo inayokupendeza, unaishia kuvaa leggings na top yeyote ile, nikaona haya ni mateso.
ahahaaaWewe utakuwa na uvimbe tumboni, wahi kwa daktari