Nimem-miss Reginald Mengi

Nimem-miss Reginald Mengi

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri kifo chake kilinihuzunisha sana.

Nitatafuta siku walau nikaweke maua kwenye kaburi lake.

RIP Mr. Mengi
 
huu wehu sasa, hiyo hela ya mataji c ule mwenyewe na wanao? kwani baba ako au babu yako hawajakuinspire? anza na ndugu zako au marafik zako kwanza ambao kwa namna moja au nyingine wamekuinspire na kuinfluence kufanya kazi uifanyayo sasa....
 
Ni miezi 7 sasa tangu huyu mtanzania mwenzetu afariki, sio ndugu yangu, hajawahi kunipa hata shillingi tano, na wala sijawahi kuonana nae uso kwa uso, ila maisha yake yameni-inspire sana, sio siri kifo chake kilinihuzunisha sana, nitatafuta siku walau nikaweke maua kwenye kaburi lake.

RIP Mr. Mengi
Umeshanunua au kusoma kitabu chake hadi leo...kama hujasoma ulichoandika ni uwongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom