T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Fanya yote hayo na uzuri una elimu hata kama ni Diploma. Chukua uzoefu kutoka chuo kizuri na upambane uende kampuni reputable hata kama ina maslahi njaa. Lengo kwa kwenda kampuni kubwa ni kupata trucks angalau latest au sio za zamani sana. Sio unaenda kampuni za vichochoroni kuendesha Scania 113, nje uko unapewa buttons unakodoa macho.Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.
Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.
Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata wa miezi sita.(Niamani ntakuwa nimeweza kwa vitendo)
Baada ya hapo niende NIT nikasome Sasa course ya udereva malori kwa ajili ya cheti.
Nje kwa kutumia Njia hiyo inaweza kuwa rahisi Mimi kuwa dereva???
Leseni una renew baada ya miaka 5Leseni ukiwa nayo inachukua miaka mingapi kurenew je ni miaka mitano kama ilivyo andikwa?
Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi yoyote ili apate fursa ya kujifunza machine hizo. Machines zingine nzuri anaweza akafanya nchi zingine hadi huko UAE anapotaka ni jumbo machine za undergroundDump truck then ukimaliza fork lift au ukiona vipi dump truck inatosha then nenda either Nyanzaga,buly,North Mara GGM au Shantamine Singida kuna kitu wanaita kusotea unaweza bahatisha.Dump truck ukiwa na connection migodini kazi unapata
Na sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi youoteDump truck then ukimaliza fork lift au ukiona vipi dump truck inatosha then nenda either Nyanzaga,buly,North Mara GGM au Shantamine Singida kuna kitu wanaita kusotea unaweza bahatisha.Dump truck ukiwa na connection migodini kazi unapata
Yeah Shinyanga wapo vizuri kwa training za machine.Jumbo kuna chuo wanafundisha SA lakini sidhani kama ukigraduate unaweza kuaminiwa uka drill.Sema dump truck nliona nyepesi sana kuna kipindi Buly walikuwa wanatrain hadi mademu ku operate za undergroundNa sana sana kwenye hiyo DT ajifunze pia articulated DT, excavator pia ni nzuri zaidi kwa mazingira ya kufanya kazi haichoshi kama DT, ila.....hakuna chuo cha DT labda aende veta shinyanga wale wanakuwaga na ushirikiano na MWADUI wanapeleka wanafunzi wao pale field ndo wanajifunzia DUMP TRUCK mbali na hapo ajichanganye migodini kwa kazi yoyote ili apate fursa ya kujifunza machine hizo. Machines zingine nzuri anaweza akafanya nchi zingine hadi huko UAE anapotaka ni jumbo machine za underground
Underground buly wanatumia zile ndogo ADT, na wanafanya wadada wengi tu, hata jumbo ukiwa Underground una nafasi ya kujifunza sio lazima uende chuoni, na mafunzo mazuri ni haya ya field kabisa sio ya darasani, hata wanaotoka veta shinyanga huwa baaado sana wanakuwa na nadharia sehemu kubwa na sio vitendo na ujue pia VETA shinyanga hawana DUMP TRUCK MACHINE ya kujifunzia. Wana will loader, excavator, grader na dozerYeah Shinyanga wapo vizuri kwa training za machine.Jumbo kuna chuo wanafundisha SA lakini sidhani kama ukigraduate unaweza kuaminiwa uka drill.Sema dump truck nliona nyepesi sana kuna kipindi Buly walikuwa wanatrain hadi mademu ku operate za underground
Yeah mafunzo mazuri ni field ndiyo sema sasa entry unapata vipi na ukipata inabidi uwe na mtu ndani maana kupata kibali cha kufundishwa Jumbo au mashine nyingine za drilling kama solo ni mtihani man.Sema kuna jamaa alisema kuna chuo Dar nisijue wapi wanafundisha Dump truckUnderground buly wanatumia zile ndogo ADT, na wanafanya wadada wengi tu, hata jumbo ukiwa Underground una nafasi ya kujifunza sio lazima uende chuoni, na mafunzo mazuri ni haya ya field kabisa sio ya darasani, hata wanaotoka veta shinyanga huwa baaado sana wanakuwa na nadharia sehemu kubwa na sio vitendo na ujue pia VETA shinyanga hawana DUMP TRUCK MACHINE ya kujifunzia. Wana will loader, excavator, grader na dozer
Sijajua kwa TZ wanapofundisha DT maana vyuo wanavyotoa course za heavy duty machine ndo kama hiyo shinyanga haina, NIT sijui kama zipo na Morogoro pia nliskia wanatoa course za heavy duty sa sijui kama ni kweli. DT ni machine moja tamu sana haichukui muda kuijua kama unaendesha gari ndogo maana ni auto tu utofauti unakuwa kwenye ukubwa wake kulimanage usigonge zile windrows, na kuzijua gauges zake ndo nyiiingi na kureverse kuingia kwenye bucket kupakia na kutipYeah mafunzo mazuri ni field ndiyo sema sasa entry unapata vipi na ukipata inabidi uwe na mtu ndani maana kupata kibali cha kufundishwa Jumbo au mashine nyingine za drilling kama solo ni mtihani man.Sema kuna jamaa alisema kuna chuo Dar nisijue wapi wanafundisha Dump truck
Veta Kihonda Wahi Chap Chap Kozi InaendeleaWakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.
Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.
Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata wa miezi sita.(Niamani ntakuwa nimeweza kwa vitendo)
Baada ya hapo niende NIT nikasome Sasa course ya udereva malori kwa ajili ya cheti.
Nje kwa kutumia Njia hiyo inaweza kuwa rahisi Mimi kuwa dereva???
Inategemea Anafanyia Wapimshahara wa dereva wa folk lift kiasi gani?
Hauna maslahi mkuu.Brother udereva wa malori kwa mtazamo wangu inaanza na love then maslahi baadae ila ukiwa na fikra za maslahi utakuwa disappointed sana
Haa Hiyo Siti Lazima Akae TuOk usikae ile siti ya kushoto kwa dereva kama gari ina kitanda kaa nyuma ya dereva ukikaa pale kushoto ndo sehemu wanayoipigiza kwenye ajali
kama kiwandani je? au migodini?Inategemea Anafanyia Wapi
Nyamongo, GGM Hao Wanalipa Vizuri Lakini Kiwandani Nadhani Kawaidakama kiwandani je? au migodini?
Madereva kibao walipelekwa huko UAE wanapewa gari kwa majaribio wanasema hawajawahi kuziona hizo gari tangu wazaliwe.Mkuu lengo ni kufanya KAZI UAE sio Tanzania