Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
Wana jf mi nimemaliza diploma ya kilimo mwaka 2010 na nimeaply bodi ya mikopo mwaka huu ili nisome degree je naweza kupewa mkopo? Nawasilisha

Unapata ndio maana wameweka option za diploma kwenye application zao.
matokeo yako yamekaa vipi?