Nimemaliza dozi ya Malaria ALU Leo ,je kesho jioni naweza kula bia?

Nimemaliza dozi ya Malaria ALU Leo ,je kesho jioni naweza kula bia?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Salaam waungwana?

Kama mada inavyojieleza

Nilikua katika dozi ya malaria nilikua natumia dawa mseto almaarufu ALU

Sasa dozi ndo nimemaliza Leo na hapa nilipo Nina kiu mbaya

Sasa nauliza je kesho jioni naweza kunywa bia? Au kuna madhara yoyote naweza kupata nikigida angalau balimi chupa 5??

Msaada tafadhali wa kitaalam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vizuri zaidi ungemuuliza aliekupa hizo dozi

[emoji375][emoji375]
 
Yaani Pombe ni bora sana kuliko afya? Kweli nyie walevi ni utumwa kabisa
 
Back
Top Bottom