Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaliza 4m4 mwaka jana na malengo yangu natamani niwe nafanya kaz benki kwa hyo nisomee nini ili niweze kupata kazi benki?
taja matokeo yako ya form4 kwanza
kapige certificate ya accounting
Dogo upo mji gani? Kama umeweza kuingia JF basi hebu tafuta vyuo vya accounts kama ulivyoshauriwa hapo juu.
Npo dar vyuo navijua bali nataka vizuri
njoo TIA huku
Ndio wapi huko
kapige certificate ya accounting
Ndio wapi huko
Dsm, kurasini
We dogo acha utani? hukifahamu chuo cha uhasibu,kipo kurasini,ukiwa kkoo panda gari za temeke shukia uhasibu mbele ya jkt/jitegemee sec.
Dogo punguza kucheza na mitandao ya kijamii kama upo serious na unataka kutimiza hiyo ndoto uliyokuwa nayo....unaonyesha toka uko form 1 unaijua Jamiiforums sipati picha kuhusu hzo social network nyingine.Nimepata division 4