Victor Chilambo
Senior Member
- Jan 31, 2019
- 122
- 62
Nimejaribu kupata mwanga apoAdvance Level kuna michepuo mbalimbali, ungeoainisha ni upi una vutiwa au kujimudu nao zaidi walau tungepata mwanga mzuri.
1. Masomo ya biashara
2. Mchepuo wa sanaa
3. Mchepuo wa Sayansi
ila kwa sayansi tayari una "F" ya fizikia ni ngumu kupata nafasi nzuri ya mchepuo huo. Labda CBG (kemia,bailojia na geografia)
Naombeni msaada kombi gani nisome advanc "nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 najiandaa kuingia kidato cha tano lakin nashindwa kufanya chaguo la combi"matokeo yangu ni Hist-C,,Geo-C,,Kisw-C,,Eng-C,,Bio-C,,Math-C,,Civ-D,,Chem-D,,Phy-F
Mpango wangu ulikua kusomea kombi zenye physics lakin matokeo yamekuja wrong.Je chuo na advanc kipi bora
EGM ukishindwa basi CBG
Barafu la moto