Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 natafuta kazi yoyote ya halali

Joseph Mathew

New Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Hello wana JF,

Mimi ni kijana nimemaliza form four 2018, natafuta kazi nina ujuzi wa kutumia computer, pia nafanya kazi yoyote YA HALALI , pia nafanya kazi yoyote inayohsu mambo ya computer.

Msaada wenu wana JF niko Dar Gongo la Mboto
 
umri wako?unaweza kufanya ukipatiwa kibarua mlandizi?
 
Back
Top Bottom