Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 ila sijachukua cheti changu cha shule nahitaji kuomba mkopo je natakubaliwa bila kuambatanisha cheti hicho

Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 ila sijachukua cheti changu cha shule nahitaji kuomba mkopo je natakubaliwa bila kuambatanisha cheti hicho

KIBEBENYEKE

New Member
Joined
Jun 22, 2021
Posts
4
Reaction score
2
Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 nahitaji kuomba mkopo mwaka huu je nitakubaliwa bila kuambatanisha cheti changu cha kidato cha sita maana shule niliyotoka nadaiwa ada.
 
Omba tu kijana cheti cha form six hakiitajiki kabisa kwenye kuomba mkopo so usijali
 
Back
Top Bottom