Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Wale waliokuwa wanaponda Bongo Movie
Nimekeshea wiki 2 naangalia nilinunuaga kariakoo kule opposite na kanisa la lutheran
Mbona Movie Nzuri sana.. sijui watu wanalalamikia wapi?
Alafu yule jini anaevuka barabara anaangalia kushoto na kulia sikumwona sijui hio movie inaitwaje wajameni?!
Pia yule mwizi anaingia nyumbani kwa mtu kuiba anavua viatu mlangoni sijamwona kabisa labda mnipe jina la Movie
Nawaona akina Khadija Kopa, akina Dadake Njaidi... Gabo... Wema... Wolper... JB.. RAY... WELU.. King Majuto...Ryana
Movies mbona nzuri kwanini mnazichukia? alafu hata haziscratch kama mlivyokuwa mnalalamika!
Nimecheka sana na nimejifunza mengi mazuri na mapungufu yapo ila sio kiviiile!
Pendeni vya kwenu jamaa!
Bongo Movies zimeboreshwa kwa sasa! Nunueni tu!