Nimemaliza kuangalia bongo movie...

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Wale waliokuwa wanaponda Bongo Movie

Nimekeshea wiki 2 naangalia nilinunuaga kariakoo kule opposite na kanisa la lutheran

Mbona Movie Nzuri sana.. sijui watu wanalalamikia wapi?

Alafu yule jini anaevuka barabara anaangalia kushoto na kulia sikumwona sijui hio movie inaitwaje wajameni?!

Pia yule mwizi anaingia nyumbani kwa mtu kuiba anavua viatu mlangoni sijamwona kabisa labda mnipe jina la Movie

Nawaona akina Khadija Kopa, akina Dadake Njaidi... Gabo... Wema... Wolper... JB.. RAY... WELU.. King Majuto...Ryana

Movies mbona nzuri kwanini mnazichukia? alafu hata haziscratch kama mlivyokuwa mnalalamika!

Nimecheka sana na nimejifunza mengi mazuri na mapungufu yapo ila sio kiviiile!

Pendeni vya kwenu jamaa!

Bongo Movies zimeboreshwa kwa sasa! Nunueni tu!

 
Hongera kwa kuangalia na kuvutiwa na bongo movie
Mm nimeacha kuangalia Zamani sana

Movie ya Mwisho kuangalia ilikuwa Heart attack ,hata ckuimaliza
Ntashukuru mungu movie yenyewe ckununua nilikodi Cd, cyo kwa ujinga ule jamaniiii khaaa
 
Waigizaji wote wako busy na kampeni ya mama ongea na mwanao
HAHAHAHAHA
Sawa nitajaribu nione [emoji2][emoji2]
HAHAHAHA

Hongera kwa kuangalia na kuvutiwa na bongo movie
Mm nimeacha kuangalia Zamani sana

Movie ya Mwisho kuangalia ilikuwa Heart attack ,hata ckuimaliza
Ntashukuru mungu movie yenyewe ckununua nilikodi Cd, cyo kwa ujinga ule jamaniiii khaaa
HAHAHAHA

Bongo Movies karibu zote ni HOVYO.
DOH SIO NILIZOANGALIA MIE

Watoto wazuri tuu wenye chura zao kwangu wanatosha
DOH

Kama hutaki iache hivyo hivyo.

Kuangalia bongo muvi nikupoteza muda wako na akili zako kuangalia kisicho na maana.
DOH MBONA MIE NIMEONA VYA MAANA KIBAO



MJE NA HUKU USOME HADITHI Story: Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…