Nimemaliza kupiga plasta. Ushauri

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
338
Baada ya piga nikupige, kujinyima, kukwepa mambo mengi hatimaye nimemalizia plasta,madirisha(grill) mlango(grill) sjamaliza mambo kadhaa mf blundering, skimming nk nini muhimu cha kuendelea nacho hapo

Ushauri wako basi.. eneo langu ni Kibada Kigamboni DSM
 
Kuna jirani amekamilisha nyumba nilimkuta dah wakuu naomba nichomekee hii, anawatoto machokoraa kazi kuwatania wakwangu. Kila siku nakuta vilio. Namimi ni mgeni bado
 
Hongera sana mkuu, uanzishe na bustani uachane na kununua mboga za majani, ufuge na kuku wachache kwa ajili ya mayai na kitoweo
Bustani iliianza mapemaa sana, kuku bado wakuu ninyi mnipe mbinu.asante kwa ukarimu
 
Baada ya piga nikupige, kujinyima, kukwepa mambo mengi hatimaye nimemalizia plasta,madirisha(grill) mlango(grill) sjamaliza mambo kadhaa mf blundering, skimming nk nini muhimu cha kuendelea nacho hapo

Ushauri wako basi
Kama huna haraka ya kuingia hapo ndani nakushauri fuata Brandering, weka ceiling board (Gypsum ceiling kama utapendelea ikifuatiwa na frem za milango na madirisha kisha fanya Skimming kwenye Ceiling na kuta za ndani, ikifuatiwa na Floor (Tiles) alafu ndiyo uweke milango (Shutter) ukimaliza amia nje

Kama una haraka ya kuzama ndani basi weka madirisha na milango, fuata floor alafu ceiling utaweka baadaye na kisha fuata utaratibu huo hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…