Nilitaka kufikiri nyumba iwe na geti ila haina fensi
Moto tayar?Hongera sana! Mimi nimehamia ivoivo namalizia taratiibu usawa wenyewe umekaa vibaya kweli awamu hii
Sent using Jamii Forums mobile app
swali zuri sana maana hakuna kitu sikipendi kama mtu kujenga nyumba halafu choo cha mapipa na virobaJe shimo la maji taka tayari?
Rafiki kuna sehemu nimekuona leo![emoji6][emoji6][emoji6]ajenge ukuta kisha aweke geti watoto wake wacheze na wale wengine wacheze kwao
Rafiki kuna sehemu nimekuona leo![emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1418383