flynn05
Member
- Apr 7, 2024
- 63
- 93
Baadhi ya watu wameniuliza kama zile dawa zilinisaidia, kiukweli baada ya matumizi sahihi ya PEP kwa mwezi mzima, nilipima punde tu baada ya kumaliza dawa ilikua mwezi wa 3 mwaka huu..nkawa NEG
nkasubiri mpaka mwezi wa 6 napo nilipima tena ila majibu yakawa NEG na mwezi huu wa 9 pia nmepima bugando na majibu yamekuja NEG
Hii sio kuambiwa ila nilitest mwenyewe, baada ya kusex na muathirika, ndo wazo la kupima likaja, baada ya kumpima majibu yalikuja POSTIVE, na baada ya kumhoji alikubali ni muathirika..hapo ndo nkachukua hatua ya kuwahi bugando hospital, ikiwa ni masaa 13 toka nimesex nae, so nkawa ndani ya mda sahihi wa kuanza dawa....nikatumia kulingana na masharti ya daktari mpaka leo niko sawa...
Ushauri wangu, ukijipata uko kwenye shida kama ilionikuta tafadhali usisite kutumia izo dawa kiukweli kama ni kusaidia zinasaidia, binafsi nmeona ilo, lakini pia kama kijana nimejifunza kua makini sana na tamaa za kimwili, hasa wakati kama huu nikiwa na malengo ya kufika mbali, au kufanikiwa.. maana naamini ingetokea nmeathirika binafsi navojijua nisingeweza kulibeba ilo kwa namna yoyte, mwisho nisingetumia dawa na kama kufa basi ningekufa kirahisi kama ivo...
Niombe tu wengi walinishauri vizuri ingawa na wengine walinipa maneno ya kunivunja moyo ila nashukuru wote kwa pamoja nko salama na naendelea na mapambano dhidi ya ndoto zangu🫡