Mkuu inawezekana ukawa umesema ukweli Mchungu.....ila kwani England ndio kuna Mpira? au Kuna Mashabiki?Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.
Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya.
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain. Hana zile mishemishe za kistriker. Bado anampira wa kitanzania.
Lakini ana goli nne katika mechi nne mpaka sasa na pia ana hat trick moja tayari msimu huu.Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Natumai bado unaangalia mechi,kama hauangalii taarifa ni kwamba Sammata amebahatisha tena goli huko.Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Jamaa ashasepa hawez kurudiNatumai bado unaangalia mechi,kama haungalii taarifa ni kwamba Sammata amebahatisha tena goli huko.
Kumbuka defence ya Anderlecht inaongozwa na Vincent Kompany.
View attachment 1188626
Kama unataka kuona kandanda/ kambumbu likisakatwa bila kujali hadhi ya klabu basi tazama EPL ila kama unataka tactics tizama mechi zinazoihusisha Barcelona, Real Madrid pamoja na Atletico de madrid.Mkuu inawezekana ukawa umesema ukweli Mchungu.....ila kwani England ndio kuna Mpira? au Kuna Mashabiki?
Mi napendekeza akitaka kutoka Genk aende spain tuu,England atakuwa mwanariadha tuu...ila akaze buti pamoja kuwa napambana na andeletch timu kongwe na kubwa na wamempania...fitna kwa MTU MWEUSI USISAHAU...
Wivu utakuua.Kwa wale tuliokuwa tunadanganywa na vyombo vya habari kuhusu Samatta kufuatiliwa n'a team za overtone na leicester naona haikuwa ukweli.. Huyo jamaa uwezo wake ni wakawaida sana sema bahati ndio ilimpeleka ulaya..
Kipindi cha kwanza hajafanya attempt hata moja na kagusa mpira mara mbili tu nikimlinganisha na walichokuwa wanafanya mastriker wa Genk .
Sioni nafasi yake kwa klabu yeyote pale england wala spain... Hana zile mishemishe za kistriker... Bado anampira wa kitanzania....
Hahahahahahahah Lazima umtetee wote si mnaunga mkono juhudi za Jiwe hahahahahahahahah JokesWivu utakuua.