MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
ndugu yangu...hiyo kwenye red ni madhara ya pombe tu hayo... tena ntatangaza kuacha veri suun.. naona inanizeesha tu, hadi kwenye zimekua kipilipili
lakini dah,.... hapa nilipo ka-view kako poa
Nimwambie nini Mwanajamii one??kwani mimi nimezaliwa kwa ajiri yake pekee??nawengine wanahitaji hii kitu hana hakimiliki!!

KakaKiiza mbona tukiwaza namna hiyo kila mtu atatoa yake?? Hivi unafikiri yeye kukupenda ndo wengine hawamwoni, Hawamtokei au hawampendi?? Na yeye anauwezo wa kusema kuwa hakuzaliwa kwa ajili yako Kiiza na wengine wanamhitaji ati............ kama mwanamke mwenye haiba ya kike haiwezekani akapendwa na wewe tu na wengine wasimwone. Huwa tunalazimika ku'funga' milango pale tunapoamini kuwa tumeshapata kile tunachokitaka katika maisha yetu.

So ni vema usimzibie rizki yake (you gonna leave her anyway) so its better kumwacha mapema ukimweleza wazi kuwa you dont feel to commit to her right now.....ataumia, atalia but believe me atakuja kukuheshimu pale atakapokujagundua why you did that.teh fact that umenambia mapema na kwa uwazi kuwa you are not so into me.... nitakuheshimu daima.

Mimi nampenda ila nimechoka tu ila nitamtoa out nakumwambia nje ya mazingira tunayoishi hata tulale hotelini nimwambie "kwani wewe unaonaje tubreak ila fahamu sina mwingine ila nina matatizo yanayonifanya mapenzi nipumzishe ila tutakuwa wote kama dada na kaka kwani ninakuhitaji bado,"najua atanielewa nanitakuwa naye closed kama kawaida hapo mwanzo.
Nimwambie nini Mwanajamii one??kwani mimi nimezaliwa kwa ajiri yake pekee??nawengine wanahitaji hii kitu hana hakimiliki!!

Mimi nampenda ila nimechoka tu ila nitamtoa out nakumwambia nje ya mazingira tunayoishi hata tulale hotelini nimwambie kwani wewe unaonaje tubreak ila fahamu sina mwingine ila nina matatizo yanayonifanya mapenzi nipumzishe ila tutakuwa wote kama dada na kaka kwani ninakuhitaji bado,najua atanielewa nanitakuwa naye closed kama kawaida hapo mwanzo.
Nimwambie nini Mwanajamii one??kwani mimi nimezaliwa kwa ajiri yake pekee??nawengine wanahitaji hii kitu hana hakimiliki!!
Sasa Kakakiiza kwa nini ukaweka base pasipo kuwa na uhakika kwanza kama ni infatuation au ndo penzi la kweli? Miezi hiyo ulitaja kaka yangu mpenzi nakiri kusema kuwa haikuwa muda wa kutosha kuweka base kama ulivyokuita mwenyewe....... nway kama hamjaihalalisha hiyo base ni vema mkawekana wazi kuwa mslow down kwanza ili kupeana nafasi ya kuzichunguza nafsi zenu. Yeye ndio atakiri amefika kule jua linakozama ambako msafiri hana budi kumaliza safari lakini mweleweshe kiutaratibu kwa sababu ni afadhali mkaumizana kipindi hiki ambacho bado hamjainvest sana feelings zenu ambazo ndo resources muhimu katika hili kuliko mkisubiri mmejikita na kuzama kabisa..maumivu yake si haba kaka.
Mimi nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka na miezi mitatu sasa kwakusema ukweli ninahisi kumchoka yeye ndokwanza kumekucha sasa kumuacha kiolela na muonea huruma!!Na nilisha onywa nisiweke base mimi nikaona kuweka base ndo mpango sasa nifanyeje au ni mumwage yataisha?
Aksante Mbu kaka yangu its only that I was forced to know more in this after a life experience. But I thank GOD and happy that I went through that...... It helped me grow stronger both spiritually as well as physically......... haya mambo bwana ukiyaanza ukiwa mtoto unakomazwa tu upende usipende, cha muhimu is how you raise from where you fall