Nimemeza Malafin 'SP' ijumaa iliyopita,je Leo naweza kunywa pombe?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Samahani wataalamu wa afya rejea kichwa cha habari hapo juu nimetumia SP siku ya ijumaa nlikua na malaria 4, sasa nauliza baadae naweza nikanywa pombe manake nna kiu mbaya na nimepata mwaliko kuna sherehe jioni somewhere tafadhali mnipe taarifa.

Asanteni
 
dah kweli kiu ya beer kitu kingine, nakuelewa mkuu
 
Kama ulikuwa na kiu ya bia sasa ulikunywa bia ya nini halafu unaomba ushauri hii kali ya mwaka ,,,,badala ya kunywa maji kwa wingi unataka bia
 
R.I.P. in advance msalimie nyerere
 
Kwani ukipumzika hata miezi miwili au mitatu kuna nini kitapungua vitu vingine ni kujiendekeza tu
 
Jaribu uone. Subiri 7days Kaka
 
Ww kanywe tu ila tuambie kabsa unapenda jeneza jeupe au la brown?
 
Kunywa Maji Lita 10 au 20 saiv...Ukojoe dawa yote kwanza...alaf urud tuone kama itafaa kunywa bia au itakua bado haijatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…