Nimemfahamu Rigathi Gachagua majuzi tu - hivi alikuwa wapi?

Nimemfahamu Rigathi Gachagua majuzi tu - hivi alikuwa wapi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa vitendo siyo blah blah blah.

Mimi mara yangu ya kwanza kumfaham ni Ruto alipomchagua kuwa mgombea mwenza wake. Rais Ruto inaonekana alimstadi Sana kwa karibu na kumuona anafaa.

Nilijua nakumfaham Zaid katika hule mdahalo debate ya wagombea wenza alipomchanachana na kumuangusha vibaya Martha karua kwa kushusha nondo za hatariiii na kutema madini yaliyojitosheleza.

Rais Ruto kweli kapata msaidizi.

8837262661355ba7f14bfb9ac2d34fd2_M.jpg
 
Back
Top Bottom