Nimemfuma mke wangu akiiba nyama jikoni

Kuonja mboga ni moja ya tabia za wanawake wote, usishangae sn mkuu
 
Yaani kijinyama nusu kilo mtu anapika unamuwinda kiasi hicho? hivi kupika ukaonja ni issue? wewe ni mwanaume kweli? Eti mkeo anaiba una gubu wewe! mwanaume wa hivi bora pili pili
 
Hahaha chopeko na mnofu....hapo kaka unachojaribu kutuambia ni kwamba nyumbani nyama inaliwa kwa manati sanaa. .....sasa jitahidi mwezi huu wote uwagonge nyama wife ataanza kuzoea taratiibu na ataacha kaudokozi ka nyama.....komaa ndugu mama azoee nyama kuna siku atadokoa kwa jirani[emoji38]
 
We jingalao sema nimemkuta mke wangu akionja nyama zaidi ya mmoja au mbili, ataibaje chakula chake mwenyewe, wewe huko kama ndugu yangu mmoja siku akipika nyama huyo housegirl atapigwa mikwara ya kufa mtu mara hoo nimezihesabu, mara kila sahani isizidi minofu miwili, ndyo wewe umemkuta anaonja isivyo kawaida umekimbilia kushtaki huku, wakati upo naye wewe, hivi ni uchizi mlikimbia shule ulimwengu huu ni wa kukimbilia kununua nyama badara ya samaki, ndyo maana afya zetu mbovu na tunakufa mapema
 
Dah...nyama nyekundu siyo nzuri bana...nafaka na samaki/kuku ndiyo mpango mzima[emoji13] [emoji13]
 
utoto wa hali ya juu mpaka naogopa, kwamba na ww ni mume na una familia.
 
big gift ,mimi napita tu.

Lakini hiyo nyama uliyokabidhi ukaingia kuoga (let's say 10mns),akawasha mkaa,akaikata kata,akaosha akabandika jikoni...

Dakika sifuri ikaiva akaonja?

SIDANGANYIKI.
 
nilijua mimi ni kubwa la wakuda zaidi kumbe wapo wadeadly zaidi yng?!!!!
 
Mwanaume utakua mbea wewe.

Yaan nyie ndo wale wanaume mnaoendaga sokoni kununua mpk nyanya.na inavyo onekana familia yako hailagi nyama,mana hiyo nusu uliyonunua ndo yakula na familia?
Aaapa mae, sijawahi kuona.
Acha niishie hapa mana naona ntasema visivyosemwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…