basi inawezekana amezinunu muda mrefu zimekaa sana hadi zimexpire ndo maana zimemletea madhara makubwa hiviHuwa wananunua nyingi wanaweka ndani. . . In case zikawa adimu
kuna shida gani yeye kuonja mbogaLeo wife kanikera mno.
Leo nimetoka zangu kwenye miangaiko nikasema ngoja ninunue kanusu kilo kakula na familia.
Mimi nikafika zangu nyumbani nikakabidhi mboga kwa wife nkamwambia andaa msiso.
Nikaenda zangu kuoga bafu ya nje nikatumia tuu dakika chache nikatoka ile namwangalia wife kama alikua anaficha kitu nikamwambia vipi sasa sijui alikua anabuguia na maskini akakabwa tena akaanza kupaliwa mwishowe akatema ile nyama.
Mimi sikupenda kumbana sana nisije kumuaibisha mbele ya watoto nikaamua anifate chumbani nikaammwambia kulikoni vipi.
Akaanza kuona ona aibu na et ooh ulinishtukia ghafla nikaoga mimi tuu nlikua naonja!
Sasa nikamwambia kama unaonja mbona ulikua na wasiwasi sasa hujiamini?
Nikaona nisizozane nae sana nkamwambia wewe ndio mama mwenye mji jiachie kwa raha zako na mimi ni mumeo basi akashukuru akaendelea kwenda kupika.
My take: Nyie wanawake nini kimewakumba? mbona mnakuwa waroho hivi wa nyama?
Acheni hii tabia kama kuna wengine wanaofanya humu mnawafunza wenenu udokozi.
Pia muwe na amani muwapo na wandani wenu bwana acheni kufanya mambo ya ajabu.
Mwanaume unagubu wewe.Aya kukiw na nyama au samaki ingia jikon mwenyew[emoji57]mh hakuwa na sababu za kudokoa alikuwa anakula kwani kuna ubaya gani...acha roho mbaya kijana mbona hilo ni jambo la kwaida sana...kwani wewe haijawahi kukukuta hamu ya kula kitu kilichopo jikoni baada ya kuhisi harufu nzuri ya chakula?
Mkuu wapare hatuko hivo sio mpare huyo, mambo ya jikoni ni ya mwanamke.Duuh unasimamia mpaka nyama? Ww ni mpare?
Yaani kijinyama nusu kilo mtu anapika unamuwinda kiasi hicho? hivi kupika ukaonja ni issue? wewe ni mwanaume kweli? Eti mkeo anaiba una gubu wewe! mwanaume wa hivi bora pili pili