Nimemfumania mchungaji

1.Kwanza ingehamishiwa kwenye mahusiano, 2.Mke wa mchungaji hahusiki na uzinzi wa mumewe, 3.Mngemaliza kule kule kwako, 4.Utagombana na wanaume wangapi? tatizo ni mkeo.
 
He mchungaji akiri kosa? halafu amtoe sandakalawe mkewe?
mi simo
 
T. M agobe ushauri wako watu wakiusoma na wakikujua watamtafuta mkeo wamgonge manake wanajua watasamehewa tu. Ulishawahi kuwa padre au mchungaji ukawa na mchezo huo nini?

Shangazi, unajua upendo huwezi kuulazimisha kwa mtu. Kama umekwisha, umekwisha kweli. Lakini pia watu wenye upendo wanaweza wakaanguka. Ndiyo maana point yangu ya kwanza nikasema kama wahusika wenyewe wanaweza kusameheana basi wafanye hivyo.

Ikitokea kwangu, nitasikitika lakini nitafuata kitu kimojawapo kati ya hivyo nilivyovitaja. Nawafahamu hata watu wengine wenye msimamo kama wangu. Ilishatokea kwa girlfriend wangu. Niliendelea kumsaidia kama alikuwa na shida fulani (mfano kifedha) lakini urafiki wa kimapenzi nilisitisha mara.

In fact, ilitokea njemba fulani alimtia mimba nilipokuwa sipo kwa muda wa miezi 4 hivi na niliporudi kitu cha kwanza alikuja ili nifanya naye mapenzi na nadhani alitaka baadaye aseme mimba ni yangu. Kwa vile niko sensitive kwa mambo haya nilichofanya ni ku'abstain' kwa muda wote tulipoweza kukutana. Baadaye alisema hata kama nimepata mwingine anaomba kama ni kuoa basi awe mke wa pili. Hata ombi hili halikufaa kwangu.

Kitu cha msingi huwa sitaki kuwaamlia watu cha kufanya. Ndiyo maana natoa ushauri tu ili mtu mwenyewe aone point yenye maana kwake na achague mwenyewe na siyo mimi nimchagulie.
 
Last edited:
Yawezekana umekuwa haramia kwa wake za watu sasa mungu huwa anafundishaga hapa hapa dunian;kama ulikuwa uamini kama mungu yupo bora uamini sasa hata siku ya mwisho asipokuwepo utokuwa na hasara kuliko akawepo na hukuamuamini

haya sasa mrudie muumba wako -----yaani okoka
 
1.Kwanza ingehamishiwa kwenye mahusiano, 2.Mke wa mchungaji hahusiki na uzinzi wa mumewe, 3.Mngemaliza kule kule kwako, 4.Utagombana na wanaume wangapi? tatizo ni mkeo.

Unajuaje tatizo liko kwa mke wake au ni prejudice?
 
Mzee hujatafuta vaseline mpaka sasa?Kama lile zee la kutembea na vaseline kwenye daladala...?
Mchungaji saaa hii angekuwa na la kusimulia....kwa kweli..angeshaliwa tigo zamani kabla hata ya kuomba ushauri..hii ingekuwa kama fomaliti tu.
 
msindikize akapime maana huwezi jua analisha kondoo wangapi wa bwana na kama wote wapo salama.

kunayo uwezekano ekitarangwe pia hugonga nje maana alikuwa asha kubali maneno ya mchungaji eti amgonge mkewe kisha ,hiyo kama malipo jamaa asimfumanie kwa waumini.in short ekitarangwe is just as malicious if not worse than the accused.mke wake pia si mwaminifu kwa hivyo liz mimi noana wote waandamane wapimwe.good one liz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…