Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Story kama upuuzi, wa story za, jioni ya Leo, wa, efm, total clap
 
Rudi nyumbani wewe.
 

Ni ngumu sana, ila mwache, ukimuacha:

1. Atakuja kwa machozi, utaamua kumrudisha kwa Masharti au kuachana naye!

2. Ukiwa kimya baada tu ya week 2 akili itamkaa sawa, mwache wala usimseshe kabisa,

Ila ni ngumu, unapita Kipindi kigumu sana, ila ndo uanaume
 
Ni kweli umesamehe na uko tayari kuishi naye au ni pressure ya watoto tu.
 
Nakazia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…