Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Huu uzi umeutoa fesibuku kwa Bwana Iddi
 
Hapo umetumia lugha ngumu but thats the truth, until akiharibikiwa huko alipo, thats when she will come
So asipoteze time to wait , achukue watoro aish nao
 
The woman who is supposed to love you cheated on you. You need to leave

Staying in a relationship where you’ve been betrayed like this only opens you up to more pain and more disrespect. You deserve someone who respects and values you enough to remain faithful. Don’t settle for excuses or justifications. Prioritize your own well-being and self-respect. Leaving her is not just about ending the relationship; it’s about standing up for yourself and refusing to tolerate betrayal. You deserve better..
 
Kaka usiwe mtumwa kwa mwanamke. Kwani akifa leo hii hao watoto utaleaje. ACHA UDHAIFU KIASI HIKI.
PIA WEWE NI MJINGA.
MWANAMKE MNZIZI HATAKIWI KWENYE MJI. HIZO NI ZILIPENDWA
 
Mhakikishie kuwa unamruhusu arudi kwako lakini aendelee na mchepuko wake yaani muwe wanaume wawili anawahudumia penzi wote.
 
Kama ni kweli basi wewe ni mmoja wa viumbe wajinga na Wapumbavu katika dunia hii.

Yaani mke wako anatombwa na jamaa halafu bado unaomba msamaha wewe! acha ufara kaka unatudhalilisha sana wanaume wewe ni hasara kwa wazazi wako na ndugu zako.

Mwanamke mzinzi na mchawi hatakiwi kusamehewa kamwe! songa mbele,lea watoto wako futa namba yake na usahau kama unamke.

Wanaume wanaendelea kupungua kwa kasi ya sgr.
 
Babu jinga inama ufikiri
Mali yako inaliwaaa, mali yako inaliwaaa

Acha hiyo Malaya…. Utaumia briefly tu
 
Most likely jamaa ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…