Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Wewe mwenyewe ulisahau kukisoma kitabu chako mwenyewe au tukuchangie ununue nakala😃😃
 
Nilivyoona kijana wa miaka 40, nikagundua hizi ni comedy kama zile za "mkono wa baunsa".
 
Ug
Ugoni ni kosa linalovunja ndoa,watoto watakua tu bila hata mama yao kuwepo,hebu jishikirie ulinde heshima ya wanaume
 
je unaamini kuwa hao watoto wote ni wako? tuanzie hapo
 
Kuanzia Leo hii nimekufutia utajiri. Huwezi kujiita tajiri na huna utajiri wa akili.
 
Wewe ni dhaifu sana yaani mwanamke kachepuka na bado baba mkwe wako anakuandikisha maelezo kuwa lolote baya likimpata huyo mchepukaji uwajibishwe na wewe unakubali?

Au mpaka umkute anagongwa kitandani kwako ndio akili itaingia? Ina maana hao watoto hawawezi kuishi bila huyo mchepukaji? Na huyo mwanamke akifa bahati mbaya hao watoto utawapeleka wapi??
 
Kumbe tangazo la kitabu nikajua ni kweli imekukuta
Ningekuona dhaifu mkubwaa maana mke wa kufumaniwa ni talaka haina mbambamba .no second chance
 
Safi sana.
Tunawaambia msiwape wanawake uhuru wa kifedha hamsikii.
Unafungulia mwanamke biashara una akili kweli?
Fungua biashara mke awe muuzaji tu . Hapo anaweza kurudi akapanga mtaa B ili awe huru. Nawajua wanawake vyema.
Hiyo ndoa ishakufa hapo
 
Usimuombe arudi nyumbani!

Mwambie endelea nae huyo jamaa anakufaa!!Mungu atanipa mwingine was kuanza name maisha!!

Kuhusu watoto mtafute Binti atakae walea utakua unamlipa!

Mungu kakuonysha mapema na Bado una miaka 40!!

Unavyolialia ndio unawapa kichwa na wazazi wake,halafu hai wakwe ndio wajinga zaidi kuliko mkeo!!?

Wamempokeaje bila wewe kumkabidhi kwao!!?
 
Kwa ulivyo ainisha hata akirudi hakuna rangi utaacha ona aseh ww msepeshe tu for gud
 
Fikiria unakosea mangapi na Mungu anakusamehe?
Tafuta kiongozi Wa Dini anayehishimika ongea naye yote husifiche, atakujenga kiakili na kukuombea. Lakini atakusaidia katika kupatanisha Ndoa yako.
Achana na maneno ya watoa post wengine, yako ni madogo kuna watu Wana makubwa kwenye Ndoa na ya kutosha na yanataturika. Bado hujachelewa.
Chukua hatua Kwa Faida Ya watoto wako na Ndoa yako.
 
Imeandikwa wanandoa msitengane ila si kwa dhambi ya UZINZI.

Mkuu kauli ya "tuna watoto" ni ya kipumbavu na kutojiamini.

Mwanamke akifumaniwa ni marufuku kumrudia.

Timua mazima MALAYER HIYO.
 
Kwa kuweka habari za kitabu mwishoni, ina maana hii habari si ya kweli?
 
Angekuwa amekufa ghafla ungefanya nini na watoto...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…