Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Uliposema nikampiga ...nikajua ni form 2 skuendelea ..yaan urudiane na mtu katiwa?
 
Unataka urudiane na mbwa Malaya shetani?
Cha msingi wewe kapime ukimwi, UTI na DNA.
 
Njoo nikupatie msaada wa kisheria tuivunje hio ndoa kabsa mahakamani. Hupendwi bro...
 
Kweli wanaume wameisha. Mimi kabisa nimfumanie wife halafu nimfuate kwao kumuomba arud? Seriously. Hiv mwanaume unakosaje msimamo?
 
Atakuua huyo
 
Hogo la jang'ombe limeshamnogea
 
Kosa la kucheat sio la kusamehe
 
acha UPUMBAVU piga chini huyo mwanamke MSALITI hakufai tena. lea watoto wako fanya ishu nyingine,huyo demu utakuta hajui kusoma alafu eti mwalimu mKUu_MAma'ake.
 
Anakataa sababu tayari Ana mango wa kuishi na huyo bwana
 
Daaah aisee wanaume wanazid kupungua. Nakuhakikishia huyo akirud siku zako za kuishi zitakuwa fupi sana. Huyo hukutakiwa kumfuata au kumpigia simu piga chini mazima. Hata hao watoto fuatilia sio wako wote. Hiv mnakuwaje legelege hiv mtoto wa kiume. Okoa uhai wako mzee uweze kulea watoto. Acha ujinga. Yaan ushuhudie mkeo anapigwa mbupu halafu umuombe msamaha uko serious. Huko kwenu hakuna wakubwa wakushauri? Pumbafu kabisa.
 
huyu jamaa boya mpaka hapo...yani mwamake ndio yuko juu yake.....kwanza kuna ulazmima wa kumpiga...hata kaondoka kanuna jama andio anambembeleza eti ,,,uboya huo mwanaume hawi hivyo....kwa hiyo watoto ndio sababu ya wewe kukubali hata akichepuka upoe. kinyonge
 
kweli jamaa aache ujinga wa akili
 
Aisee
 
Nunua gunia mbili za mkaa, jembe na chepe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…