Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Unarudisha wa nini,muache ale msoto atakukumbuka,hilo danga lake kwani litampeleka wapi,uma msimamo
 
Huwa nakasirika sana mwanaume wa namna hii, mke aliyefumaniwa hasamehewi na ashakuona umejaa kwenye mfumo, ifunge hiyo biashara endelea na mambo yako kwani huwezi kulea watoto wanne tu?
 
Sawa.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20241121-130942_Facebook.jpg
    132.9 KB · Views: 8
Ukute huyo jamaa anapewa mpaka yas
 
Hataki kurudi sababu anaendeleza libeneke na mchizi wake usijiumize kichwa kumuomba arudi.
 
Umenibariki Sana 🀣 πŸ’―πŸ“Œ
 
🀣🀣🀣🀣 Ila hii Kali kmmk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…