Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

Duuh
 
Jipende sana,Mke ni jamaa tu unaweza endelea na maisha yako.

Mke mjinga akipata afadhari ya maisha anakimbilia kuachana na mume wake😂😂
 
huyo ukimrudia atakupiga tukio, kama bomu la HIROSHIMA na NAGASAKI, anza maisha mapya pls
 
Tatizo mnaongea sana
 
Changanya mbariga Anza upya mzee acha kuwa zamwamwa,Tayari una watoto wanne huna hasara,biashara ushalipa iyo na faida juu watoto wanne.Piga moyo konde,tafuta mwanamke mwingine mzuri tu,hama hapo kaanze naye maisha sehemu ingine leeni watoto ikibidi nayeye mzalishe mtoto mmoja wa uzeeni,nayeye akileta manjegeka,piga chini songa mbele,maisha mafupi sana unalialia nini wanawake kazi yao ni kutuzalia watoto songa mbele,acha uboya.
 
Hiyo lazima umpige disco (discontinued from marriage) ukimruhusu arudi pigo litakalofuata hatutaliona hapa JF, hauta kuwa na sound mind to communicate anything, if u will be lucky to be alive
 
Weee kwa jinsi nilivyosoma uzi umeishalogwa tangu zamani! Huyo sio mkeo tena labda kama unahofia usalama wa watoto! Piga chini! Pambana hali yako
 
huyu jamaa kapika chai il I auze kitabu
 
ukiendelea kumganda, akirudi anakumaliza, mlipendana mkiwa bado hamjapata exposure, sasa amekuwa exposed kwa ulimwengu, na anajutia kwanini aliharakia kuolewa, i.e wewe siyo type yake tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…