Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

Inahitaji utaalam sana kumueleza vinginevyo kibao kinaweza kukugeukia.
 
Watu hawana jema ndugu yangu
Unaweza sema ukwer alaf bhado wakawa pamoja unadhan utaonekanaje
cha kufanya
hakuna malef bila ncha......yatakua wazí

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inauma kusalitiwa arifuu.

Ila nikuambie tu baki kimya Mezea fanya yako na punguza mazoea na huyo shemeji yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…