miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Sidhani kama ana ukoma, ni kuwa ni majeraha ya ukoma. Hana virus as long as alitibiwa. chances kuwa utaambukizwa ni nill!Habari zenu wana jf
Leo nikiwa safarini kivukoni nimemgusa mama mwenye ukoma wakati namsaidia pesa,
Je kuna athari zozote ambazo naweza kupata kutokana na mgusano huo?
Thanks dearSidhani kama ana ukoma, ni kuwa ni majeraha ya ukoma. Hana virus as long as alitibiwa. chances kuwa utaambukizwa ni nill!
Karibu dearThanks dear
Ufahamu ugonjwa wa ukoma (Leprosy)Sidhani kama ana ukoma, ni kuwa ni majeraha ya ukoma. Hana BACTERIA as long as alitibiwa. chances kuwa utaambukizwa ni nill!
Ufahamu ugonjwa wa ukoma (Leprosy)Habari zenu wana jf
Leo nikiwa safarini kivukoni nimemgusa mama mwenye ukoma wakati namsaidia pesa,
Je kuna athari zozote ambazo naweza kupata kutokana na mgusano huo?
Sidhani kama ana ukoma, ni kuwa ni majeraha ya ukoma. Hana bacteria as long as alitibiwa. chances kuwa utaambukizwa ni nill!
AsanteKwa ufahamu wangu Ukoma huenea kwa njia ya hewa. Kukohoa, kucheka na mengineyo husababisha ugonjwa huo.
Hapo toa shaka. Huwezi kuupata.
Mwenyenzi Mungu akubariki kwa hicho kidogo ulichompa ndugu yetu. Hiyo ni Sadaka na utapata thawabu kutoka Kwa Mungu.
Ubarikiwe.