PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Unafanya nini DAR kuna aliekulazimisha kukaa huku rudi huko ulipo pakumbukaWale wa Ngulelo, Matejo, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda hadi Kisongo hata Dukabovu huko Meserani huko kote na kwingine njooni tupeane maramani!
Hawa machalii wa dsm ni masoro sana kama mademu tu hv yaani. Siku hizi naahindwa kutofautisha yupi demu yupi ke yaani maana wapo nyoronyoro sana kiswahili mingiiiiiii!
Aaaahhh acha upang'ang'a wa kisoro we mtoto wa kikeUnafanya nini DAR kuna aliekulazimisha kukaa huku rudi huko ulipo pakumbuka
Arooo Chalii bado tunaendeleza kazi ya kukaba kwa bisibisi pale Unga-limited chalangu, alafu na mirungi kama kawaaaaWale wa Ngulelo, Matejo, Ngaramtoni, Sakina, Mbauda hadi Kisongo hata Dukabovu huko Meserani huko kote na kwingine njooni tupeane maramani!
Hawa machalii wa dsm ni masoro sana kama mademu tu hv yaani. Siku hizi naahindwa kutofautisha yupi demu yupi ke yaani maana wapo nyoronyoro sana kiswahili mingiiiiiii!
Hahaha ukiona machalii wa disim wanakuzingua jooohhh nipigie mluzi tu chaliiNpoo kwa fasi ya dar buda semaa hom n chuga kipande ya nguleloo eroooo
Chuga moja hii manOi umekuja kutudere au maana naona kama sio chali ya chuga
We sio chalii ya chuga wewe.....unaleta udere tu hapaArooo Chalii bado tunaendeleza kazi ya kukaba kwa bisibisi pale Unga-limited chalangu, alafu na mirungi kama kawaaaa
Hahahahaha mamong'oo wanakula meat balaa yaan hahahaha chuga forever babakeKaribu sky lounge ukutane na mamongoo
Ngoja nisanye ndururu zao kiboyaboya hafu ile nabonyeza kichuga yaan hawa machalii warembo sanaUtakaaje bongo muda wote huo mtu wangu? Kwanza unaezaje sehemu ina joto kama nn? Rudi a city man achana na hao watu wa kuuza sura
We erooo vipi yaanNiaje Chalii ya DSM?
***** nilikuwa sijakusoma ww boya ww.....utakula ngetaMachalii mingi ya chuga inavunga masela OG kumbe makachako tuu
Mbona POVU enyi wanaume wa Dar?Machalii mingi ya chuga inavunga masela OG kumbe makachako tuu
Unafanya nini DAR kuna aliekulazimisha kukaa huku rudi huko ulipo pakumbuka