Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Iya horenge tata isakoro Dasalam hayo?Wadau hasa mlioko dar naomba tujikumbushie kidogo kuongea kilugha, inasemekana nyie wakurya mliokimbilia na kulowea pwani ya dar es salaam siku hizi hamjui kuongea lugha zenu za aslili na wengine mkijinadi kwa kusema nyie sio wakurya bila kukumbuka mlipo kuwa mnaingia dar mlikuwa hamjui hata kuongea kiswahili vizuri.
Haya nawasalimu kwa hivi:
Kikurya- mbuya mwalaye?
Kizanaki- mbuya mwahindiri/ mwaleli?
Kikabwa- mbuya mohoyeri?
Kingoreme- tengote mura?
Kama ni mmoja wa watu mliolowea pwani ya dar es salaam hebu anza kuongea kilugha chochote cha mkoa wa mara nione kama unajua.
Karibuni.
Ighanke murisya[emoji41][emoji41]Uzi wa Wakurya na Wazanaki.
Nyankundo.Ighanke murisya[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyankundo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Horenge kana muraa
Subiri siredi ya wasukuma [emoji16]Mwamishaga Nola Niki?
Nkerya waho kuyo tataAn dala
Sijui zaidi ya hapo mkuu.Nkerya waho kuyo tata
Kumbe unajua Nyankundo tu[emoji16][emoji16]Sijui zaidi ya hapo mkuu.
Jibu kwa lugha ya kwenu tuone kama wewe siyo wale waliolowea huko pwani ya wala pweza!!!!Subiri siredi ya wasukuma [emoji16]