Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mtoto asha ngedere mixa da kibogaUtakuta we mwenyewe Pasua kichwa a.k.a Dada wa mjini anaedanga..kuna mwanaume atathubutu kukuonesha mapenzi ya kweli.. Evelyn Salt
Hahaha baharia mwenzangu vipi jomonii...pole aisee..hata Mimi nimemiss baadhi ya vitu kama vyako..em jomonii mmoja anitumie msj ya kuniambia kanimiss hata ya uongoo tuu...ππ
Tukutumie wapi mdada mzuri?Hahaha baharia mwenzangu vipi jomonii...pole aisee..hata Mimi nimemiss baadhi ya vitu kama vyako..em jomonii mmoja anitumie msj ya kuniambia kanimiss hata ya uongoo tuu...[emoji23][emoji23]
Khantwe wangu ananitosha
Nilivyomiss hata huko chemba nakuona mbali...niambie tuu hapahapa ntafurahiNjoo chemba
D jomonii em niambie nikuje wapi??!ππTukutumie wapi mdada mzuri?