Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

ha ha ha ha hujaelewa soma mpaka sa hivi shauri yako
 

1. Kama kwa haya hujui cha kueleza wewe ni mnafiki hata kwa nafsi yako
2. Subjective saaaanaaaa
3. Hapo ushaamua unataka kura za kukuunga mkono
4. Appreciation kwa baadhi yenu ni OK implied
5. Unaendelea kujiridhisha nafsi kwa kufikiria
6. Sio kila muungurumo ni gari.........generator pia huunguruma
7. Unajifil unataka.........

Chicken headed.....n you dont even say kama unampenda boyfriend wako zaid ya kusema yupo!!!!!
Boyfriend wako atakushauri vizuri sana n at tha same time ataamua na ya upande wake
 
Nyimbo ya taifa haichezwi disco,cku moja2 ushatamani kumbwaga boyfrnd wako?kwahlo cna iman tena na mpnz wngu kumbe wanawake ndo mlvo?

Wamesema usitukane misitu kwa mti mmoja, nani kasema wote wako hvo?
 
mhm soma maaelezo yangu vizuri hujanielewa

Umesema unahisi kumpenda sanaa wakati tayari una boyfriend, manaake akikwambia nae anakupenda utakuwa tayari kumwaga boy wako...
 
Ni tamaa tu au niseme ni physical attraction uliyopata kwa huyo kaka. In no time itakwisha. Tulia na uliye naye
 

Umemaliza kazi mkuu, maana anajifanya hapendi wakati anataka...
 
Dada manka cha kukushauri ni uende ukajifunze kwanza maana ya upendo kwa sababu hujui kabsaaa! yani umeingia kwenye uhusiano ukiwa hujijui. Huwezi kusema unampenda mtu zaidi ya mmoja. sababu mojawapo ni kwamba upendo una "commitment" ambayo ni kumuahidi m2 hutoangalia pembeni na ukailinda ahadi yako hadi kifo. Mimi naona humpendi huyo kaka wala humpendi boyfriend(what the hell is boyfriend anyway?) .Wewe ni mtu ambaye ni take take take and never give back. Nenda kajifunze kwanza ndo uingie huko....
 
My dia tulia na mpnz wako,
Huwezi kujua kwa kuangalia.
 

we una varu varu babii naleliyo naleliyooo..............:embarassed2:
 
Wazuri wapo wengi,utajikuta unarukaruka kama kitenesi..sikia kengele ngrrrrrrr...tulia na wa kwako.!!unaweza kumfanya awe vile upendavyo,dont focus much on ready made coz there is cost behind...

unakunywa kinywaji gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…