Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Inavyoonekana jf inavunja ndoa za watu!! Kuanzia leo namkataza wife kutinga humu...........
 
Ungekuwa mjiolojia ningekuambia
Huyo anafanya Preliminary Exploration

Yule bf wako yuko kwenye advanced exploration.

Sasa changanya na zako!
 
We muache ateme big G kwa karanga za kuonjeshwa
Usitupe chembachao kwa msala upitao. Fikiria mara mbili maamuzi yako usije kujilaumu wewe mtu umemuona siku moja umejuaje kama ni mwema kwako mimi sikushauri endelea na urafiki tu. Tena anaweza kuwa rafiki mwema kuliko mkiwa wapenzi.
 
life on the fast lane.... unakutana na mtu tu siku moja ana-shake the ground below your feet and whatever you have been cherishing all along... sikilizia kilio chake baada ya kuingizwa mjini sasa
 
Ua very luck my dia, ila I just wonder who could tht be jamani..
 

Kwani mwazoni huyo BOifrendi wako kabla hamja......... hamja "befriend" haikuwa kama hivi.......
 
Binti i clearly see that you are looking for that big greenlight so that you can partly ease your conscience and go on with your new 'friendship' leaving your current lover behind or may be juggling the two.
Sorry to disappoint but you aint getting it from me.Get in touch with reality,learn how to handle your romanticism and next time remember one of the basics of the Cyberculture: 'Chatting only,meet and greet spoils the party'.
 
Ingekuwa mimi alafu nikajua umenitamani hivyo lazima ningefanya miundo mbinu ya kuhakikisha nakumega. Alafu nakukimbia ileile.
 
"Ngastuka machale kundesa" Jipange sawasawa usije judge ulefu wa mto kwa kuangalia juu ya maji.
 
hii kweli "shez on fire" kwiii kwiiiii.....mi ndo mana naogopa kumit mambo yenyewe ndo haya, kashetan kanapta na upepo wake....akuuuu we mdada we uckurupuke,wanaume wenyewe hawa!
 
chaguo la pili ndo sahihi, uyu mpya ndo mwenyewe
 
dunia yako. ila dada nina mashaka na ww umekutana naye ushaanza kumpenda. mm mwenyewe hb kwa iyo 2kimiti utanipenda? kuwa makini moyo kwan una ugonjwa wa kufisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…