Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.

Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu.

Shida ni mwanamke achukue Mali alizozikuta ama nilizopambana usiku na mchana halafu etii tugawane nae!! Utakuwa ni uupuzi wa Hali ya juu mno.

Sababu zake hazina mashiko!

 
Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.

Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe

Haijarishi mama atanidhurumu atakuwa amedhurumu Cha mwanae. Haijarishi ndg zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu.

Shida ni mwanamke achukue Mali alizozikuta ama nilizopambana usiku na mchana halaf
View attachment 3146024
u etii tugawane nae!! Utakuwa ni uupuzi wa Hali ya juu mno.


Sababu zake hazina mashiko!
Wewe andika tuu siku ukizihitaji Kwa haraka ndio Utajua hujui.

Sina Mpango wa Kuandika Kwa jina la mama Bora tugawane maana haiwezekani tukagawana Kwa 50/50
 
Back
Top Bottom