Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.
Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe
Haijarishi mama atanidhurumu atakuwa amedhurumu Cha mwanae. Haijarishi ndg zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu.
Shida ni mwanamke achukue Mali alizozikuta ama nilizopambana usiku na mchana halaf
View attachment 3146024
u etii tugawane nae!! Utakuwa ni uupuzi wa Hali ya juu mno.
Sababu zake hazina mashiko!