[13/03, 18:41] Avit: Nipo kwenye daladala afu pembeni yngu limekaa jamaa...... bila ta aibu linasoma chats zangu zote[emoji35]
Nkaamua kuweka front camera ndo tupo tunaangaliana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[14/03, 23:26] Avit: *Marekani wanafunzi warefu wengi ni wachezaji wa basketball wa shule..lakn Bongo wanafunzi warefu wengi ni wafuta ubao*
Kama sio kurogwa ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]