Nimemkubali sana Hanstone wa iokote

Ni kweli aliimba powa.. lakini unaweza kuta ni mzuri sana akishirikishwa.. kuliko nyimbo nzima aimbe yeye..
 
Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.

Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Tangu asbh na urudia kuipiga
 
Mzee wa Havard hadi hancestone unamjua[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuweni serious basi... Iokote wimbo wa taifa!??
 
Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.

Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Sio wimbo wa taifa,sema wimbo wa IOKOTE ni wimbo wangu wa chumbani Kila siku ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…