Nimemkumbuka Babu Ayubu...

Nimemkumbuka Babu Ayubu...

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Huyu dogo wa kuiga misauti yuko wapi siku hizi?
 
  • Thanks
Reactions: kdc
Siku hizi anaimba taarabu!
 
Mwenye tarifa zake babu ayubu jamani, hii sanaa ya bongo inapoteza watu jamani
 
Yupo mbezi temboni ndio anaishi muziki nahisi umemshinda sasa hivi ni mc kwenye shughuli za harusi na send off
 
Mbona nilimwona na bodaboda pale kijiweni kimara korogwe au ilikuwa ya shughuli zake
 
Du! alishindwa kuwa mdananda na mpiga sound mjini kama kina steve nyerere
 
Dah! Ayubu Bihemerwa, my classmate, wapi ulipo ndugu?!!
 
Anajishugulisha na nini kwa sasa uyu ndugu yetu, je ana familia

Siku amepita maeneo yetu sikumfahamu kama ni yeye
Jamaa wakaniambia ni babu Ayubu, yupo kama vijana wa mtaani tu Hana haiba ya usanii tena.
Watu wanadai anaimba taarabu na wengine wanasema ni mc ,sijawahi kumfuatilia sana

Ila ni mlevi aliyetukuka
 
mstari wa mwisho ndio umebeba kila kitu,nadhani mtoa mada ushaelewa sasa chanzo cha kupotea kwenye ramani ndugu yetu Ayubu
 
Siku amepita maeneo yetu sikumfahamu kama ni yeye
Jamaa wakaniambia ni babu Ayubu, yupo kama vijana wa mtaani tu Hana haiba ya usanii tena.
Watu wanadai anaimba taarabu na wengine wanasema ni mc ,sijawahi kumfuatilia sana

Ila ni mlevi aliyetukuka
Wahaya inabidi tumchangie ndugu yetu arudi nyumbani Bukoba
 
Back
Top Bottom