Nimemkumbuka mwanangu goodzilla!

Nimemkumbuka mwanangu goodzilla!

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Unjani sabuwona

Wakuu leo jumapili yangu imeenda poa sana mamilioni yanaendelea kutililika tu sijui nyie majobless wenzangu kikao cha harusi yangu kinaenda vizuri sana muda si mrefu nitawatangazia lini na wapi harusi itapofanyika.

Leo wakati nikiwa kwenye Gari nimemkumbuka mwanngu godzilla baada ya kusikia nyimbo ya sikati tamaa remix ya darassa aisee kwenye Ile nyimbo godzilla amefunika Balaa sipati picha Kam mwanangu angekuwepo leo angefunika mbovu sijui kwanini na yeye alikata tamaa mapema vile ila mipango ya mungu haina makosa.

Nimejuana na godzila at that kipindi hicho mshikaji tunashinda nae masikani Tegeta salasala# salasala hood# jamaa kiukweli iliibrand Street yetu ya salasala.

Godzilla ni msanii bora wa hip hop kuwahi kutokea kwenye kizazi hiki jamaa alikuwa anajua kuflow na kutoa content za maana sana na za kueleweka.

"Tokea mdogo maisha yangu hayaja simple Miaka mitano gerezani nauza scissor ✂️.

"Tamaa umenitengezea attitude ya kigangster wenzangu wamelaa mimi nipo mtaani Naoko scrapper."

"mother anaamini hamna maisha bila school, huku mtaani machizi wanaamini bila kamari hatuli."

"Machizi wa mtaani wana dream ya kupush limo,machizi wanaenda South border viva frelimo."

"Maisha ya kitaa sio ishu mlo mmoja kwa siku machizi wanakula mpaka mwa nchana mwa usiku"

Godzilla alikuwa bora sana!
 
Uswazi rohoo zipo mkononi
kama hujui ngumi
lazma una kisu kiunoni
 
Back
Top Bottom