Kuna siku, wiki mbili Sasa alikuja na uzi kuhusu mgogoro unaoendelea ktk msiba wa Nimrod Mkono.Wakuu Gentamycine yuko wapi? Mbona simuoni? Thread zake mbona kimya na Gentamycine wala hata simuoni shida ni nini? Please moderator mwachieni Gentamycine aisee tuzione thread zake humu jukwaani
Gentamycine ni mfanyabiashara mwenzangu soko la kawe kuuza mihogo.Jamaa ana IQ kubwa sana ila sijui kwanini mods wanapenda kumpiga ban huu ni uonevu kabisa
#Free Gentamycine my brother from another father#
Unamaanisha ajifuate mwenyewe akanywe chaiš¤£Akili zikizidi huondoa maarifa..kama umemkumbuka sana mfuate kwake mkanywe chai
Bado yupo kwa lemutuzWakuu Gentamycine yuko wapi? Mbona simuoni? Thread zake mbona kimya na Gentamycine wala hata simuoni shida ni nini? Please moderator mwachieni Gentamycine aisee tuzione thread zake humu jukwaani