Nimemkumbuka Pop Smoke

Nimemkumbuka Pop Smoke

Msela Wa Kitaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2021
Posts
1,396
Reaction score
2,704
Dah dogo alikuwa bonge la rapper walikatisha maisha yake mapema sana alikufa akiwa na miaka 20

Producer Rico Beats alisema kwamba kabla ya kufa kwake alikuwa anajuta kuwa kwenye gang na alikuwa anawaasa watoto wadogo wajiepushe na gangs

Kwenye tasnia amekaa miaka 2 tu yaani huo unyama ameufanya ndani ya kipindi kifupi sana jamaa alikuwa mkali sana
url.jpeg
url(2).jpeg
 
Dah dogo alikuwa bonge la rapper walikatisha maisha yake mapema sana alikufa akiwa na miaka 20

Producer Rico Beats alisema kwamba kabla ya kufa kwake alikuwa anajuta kuwa kwenye gang na alikuwa anawaasa watoto wadogo wajiepushe na gangs

Kwenye tasnia amekaa miaka 2 tu yaani huo unyama ameufanya ndani ya kipindi kifupi sana jamaa alikuwa mkali sanaView attachment 2574738View attachment 2574739
Ep yake ya mood swings kila ngoma ni msumari,sijawahi kuishia kusikiliza DiAna,Mood swings na What u know bout love mara moja tu!? Ni lazima nirudie hata mara tatu ndio niende kwenye track nyingine
 
Sitaki kujua hizo songs.

Huyu jamaa ni handsome balaaa. Daah ardhi imemeza Kaka mzuri
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
50 Cents alikuwa anamkubali sana huyo Dogo, yaan ngoma zake ni kama 50 Reborn tu. 50 alilia sana aliposikia dogo amekula chuma.
Pata kusikiliza ngoma yake moja matata inaitwa AIM FOR THE MOON ndio utajua watu wanajua kufanya muziki.
 
When I walk in the spot, .30 on me, buy out the club, nigga know that I'm paid
Bitch I'm a - (uh?), get me lit, I can't fvck with these nigga 'cause nigga is gay

Hio mistari ya mwenda zake kwenye dior mwendazake alikua homophobic sana 😁
 
jamaa alikuwa mgumu
 
When I walk in the spot, .30 on me, buy out the club, nigga know that I'm paid
Bitch I'm a - (uh?), get me lit, I can't fvck with these nigga 'cause nigga is gay

Hio mistari ya mwenda zake kwenye dior mwendazake alikua homophobic sana [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo unachokiwazaa wee hicho tyuuh.
Mxxcciieeew
 
50 Cents alikuwa anamkubali sana huyo Dogo, yaan ngoma zake ni kama 50 Reborn tu. 50 alilia sana aliposikia dogo amekula chuma.
Pata kusikiliza ngoma yake moja matata inaitwa AIM FOR THE MOON ndio utajua watu wanajua kufanya muziki.
Ntaisikilza bas aseeeh.
 
Nikimkumbuka huyu, xxxtentancion na JuiceWLRD naumia sana kuona talents hizi zilivyondoka/ondoshwa fasta. Ndio kwanza game walishaanza kuiteka. Aisee! Gun violence na Drugs ni adui mkubwa sana huko US.
Mambo mengine wanayataka wenyewe, makundi yanaepukika
 
Back
Top Bottom