Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Ep yake ya mood swings kila ngoma ni msumari,sijawahi kuishia kusikiliza DiAna,Mood swings na What u know bout love mara moja tu!? Ni lazima nirudie hata mara tatu ndio niende kwenye track nyingineDah dogo alikuwa bonge la rapper walikatisha maisha yake mapema sana alikufa akiwa na miaka 20
Producer Rico Beats alisema kwamba kabla ya kufa kwake alikuwa anajuta kuwa kwenye gang na alikuwa anawaasa watoto wadogo wajiepushe na gangs
Kwenye tasnia amekaa miaka 2 tu yaani huo unyama ameufanya ndani ya kipindi kifupi sana jamaa alikuwa mkali sanaView attachment 2574738View attachment 2574739
what u know bout love ni noma mkuu wanguEp yake ya mood swings kila ngoma ni msumari,sijawahi kuishia kusikiliza DiAna,Mood swings na What u know bout love mara moja tu!? Ni lazima nirudie hata mara tatu ndio niende kwenye track nyingine
sanaaaa jamaa 'anguPob alikuwa atar san mzee
50 Cents alikuwa anamkubali sana huyo Dogo, yaan ngoma zake ni kama 50 Reborn tu. 50 alilia sana aliposikia dogo amekula chuma.Sitaki kujua hizo songs.
Huyu jamaa ni handsome balaaa. Daah ardhi imemeza Kaka mzuri
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
When I walk in the spot, .30 on me, buy out the club, nigga know that I'm paidSitaki kujua hizo songs.
Huyu jamaa ni handsome balaaa. Daah ardhi imemeza Kaka mzuri
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
dahSitaki kujua hizo songs.
Huyu jamaa ni handsome balaaa. Daah ardhi imemeza Kaka mzuri
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
jamaa alikuwa mgumuWhen I walk in the spot, .30 on me, buy out the club, nigga know that I'm paid
Bitch I'm a - (uh?), get me lit, I can't fvck with these nigga 'cause nigga is gay
Hio mistari ya mwenda zake kwenye dior mwendazake alikua homophobic sana 😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo unachokiwazaa wee hicho tyuuh.When I walk in the spot, .30 on me, buy out the club, nigga know that I'm paid
Bitch I'm a - (uh?), get me lit, I can't fvck with these nigga 'cause nigga is gay
Hio mistari ya mwenda zake kwenye dior mwendazake alikua homophobic sana [emoji16]
Ntaisikilza bas aseeeh.50 Cents alikuwa anamkubali sana huyo Dogo, yaan ngoma zake ni kama 50 Reborn tu. 50 alilia sana aliposikia dogo amekula chuma.
Pata kusikiliza ngoma yake moja matata inaitwa AIM FOR THE MOON ndio utajua watu wanajua kufanya muziki.
Mambo mengine wanayataka wenyewe, makundi yanaepukikaNikimkumbuka huyu, xxxtentancion na JuiceWLRD naumia sana kuona talents hizi zilivyondoka/ondoshwa fasta. Ndio kwanza game walishaanza kuiteka. Aisee! Gun violence na Drugs ni adui mkubwa sana huko US.
Ni mwanaume mwenzako huyo we ng'ombeSitaki kujua hizo songs.
Huyu jamaa ni handsome balaaa. Daah ardhi imemeza Kaka mzuri
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umekunywa chai lakini???Ni mwanaume mwenzako huyo we ng'ombe
Huko nyuma naona limebaki shimo tu kubwaa.Mwanaharamu weweUmekunywa chai lakini???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]