Naipenda ile nyimbo yake na Travis Scott "Gatti". Dior Dior nayo ni moto. Kuna ile tena kaimba na Quavo "Shake the room".
"Welcome to the party" [emoji91][emoji91] hakuna cha maana sana wanachoimba zaidi ya drugs and violence ila kule tunapenda zile flows tu na midundo!!!