Nimemkumbuka sana Marehemu Afande Mashaka, alikufa kibaya sana

Kibwetele mkubwa, hakuna ATM inayotoa mamilioni. Uongo umetunga
 
Funzo; Askari polisi hacheni kuonea watu.ingawa sio Asakri wote wengine wana wema.
Kwenye..akatoa milioni kadhaa.
Huu ni uongo, enzi hizo ATM ilikuwa ikitoa sio zaidi ya laki 8.
Pili askari lindoni hawezi kuibia mteja waziwazi hivyo
 
Wakati huo, ATM maximum amount ya kutoa ilikuwa shilingi ngapi kwa siku?
Haikuzidi laki 8.
Hii ya ukomo wa 1m imeanza si muda mrefu.
Tukiacha hizi bank za kigeni ambazo unaweza kutoa zaidi ya 2m
 
Mtoa Mada ilikuwa ni mwaka gani hili suala la Afande Mashaka??maana OysterBay ndio Kituo changu cha kwanza kuanzia kazi baada ya kutoka Depo 1999
Hapo nazungumzia habari za mwaka 2008 ulikuwa umezaliwa wewe?
 
Mode uliyeedit Uzi wangu urahaniwe.
 
Funzo; Askari polisi hacheni kuonea watu.ingawa sio Asakri wote wengine wana wema.
Kuna watu wanaelewa vibaya dhamana waliyopewa ya kuwa askari. Wao wanafikiria kuonea watu, kuwatisha na kufanya lolote lile wanalotaka.
Chonde chonde....Tusifanye mambo ambayo yataharibu sifa za jeshi na hata kutuharibu wenyewe tunaoyafanya.
 
Mtoa Mada ilikuwa ni mwaka gani hili suala la Afande Mashaka??maana OysterBay ndio Kituo changu cha kwanza kuanzia kazi baada ya kutoka Depo 1999
Poti ulidumu kwa mda gani?
 
Hii riwaya yako ni fiksi tupu. ATM ya zama hizo haikua na uwezo wa kutoa zaidi ya laki mbili kwa siku. Sasa huyo mpemba hayo mabulungutu aliyatoaje.
 
Mtoa Mada ilikuwa ni mwaka gani hili suala la Afande Mashaka??maana OysterBay ndio Kituo changu cha kwanza kuanzia kazi baada ya kutoka Depo 1999

Nadhani ukisoma mstari wa mwisho utaelewa meseji yake afande
 
Labda lengo ilikuwa kutoa funzo ilaa Hakuna namna Askari anaweza fanya Ujinga kama huoo japo hao jamaa Kichwani hakuna Kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…