Nimemkumbuka Vengu wa Komedi

Jamaa kipindi kirefu sana akiumwa ila habari zake siku hizi hazijulikani sana,alipona hakupona sina uhakika nalo.
 
Aliumwa sana jamaa, alipelekwa mpaka India kwa matibabu kwa gharama za Ze Comedi wenyewe.

Currently anaendelea vizuri sana lakini bado hajapona kiasi cha kufanya kazi.

Jamaa huu ugonjwa ulikuwa unamsumbua toka utoto, ukimwamlia anaumwa kweli.

Anaishi Mikocheni nyuma ya Baraka Plaza, na familia yake inawashukuru sana kina Masanja, hawajamtupa mshkaji kwa sababu mpaka leo anapata mshahara.
 
Daaah! Kipindi sana maskini. Whatever it is, Mungu amjalie ili arudie hali yake ya awali...
 
Ale shudu kama vepee
 
Bado Anacheza Tu Na Nyuzi Bin Nyuzi Za " Dally Kimoko ".
sio vizuri kumuelezea mwenzako hvyo.
hujafa hujaumbika unafikili kama atakuwa amesoma coment zako hizi atajisikiaje haipendezi kuwaelezea wagonjwa udhaifu wao uliosabisha malazi yao hata kama ni uzembe hata na wewe yaweza kukuta siku moja
ya MUNGU mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…