Nimemkumbuka Vengu wa Komedi

Hakuna anayejua anaumwa nini,ndo mana kila mmoja hata wanaotoa update zake wanazunguzunguka tu.
Mungu amjalie Vengu,Amen
 
unamaanisha ana aka kaugonjwa kakisasa mkuu?!udadavuzi kidogo

Maswali Ya Kitoto Huwa Siyafagilii Sawa? Kama Ubongo Wako Umeshindwa Kujiongeza Basi Kabadilishane Na Wa Kuku Ili Tujue Moja. Sasa Hivi Ni Mwendo Wa MAFUMBO Tu Na Kama Akili Zako Ni Za " Panzi " Kumwelewa GENTAMYCINE Itakuwa Ngumu Mno. Shirikisha Ubongo Wako Mkuu.
 

Wewe Punguani Nini! au Ndiyo Mwenyewe? Kuna Ugonjwa Gani Nimeutaja Hapo Labda Unaomuhusu?
 
We unaejiita GENTAMYCINE una roho mbaya sana, anyway, tunashukuru wamesema anaendelea vizuri.

Kwa Bandiko Lako Hili au Post Yako Hii Nina UHAKIKA Kuwa Na Wewe Sasa Unalitekenya Vilivyo Hilo Gitaa La Solo La " Dally Kimoko " Pole Sana Mkuu. Hayo Ndiyo Madhara Ya Kuuza Mechi Na Kupenda " Minyama Ndani Minyama Nje ".
 
Looh,mungu ampe wepesi arudi hewani kama vile MZEE WA KIRARACHA.
 

Mbona Unashoboka Nae Mno Hivi? au Na Wewe Keshakurithisha Gitaa Lake La Solo La Kama La " Dally Kimoko? ".
 
elezea vizuri mkuu gentamycine

Ukishafahamu Tu Gitaa La Solo La " Dally Kimoko " Na Jinsi Linavyopigwa Hasa Kimatendo Basi Utakuwa Umeshanipata Na Kunielewa Mkuu. Jiongeze Na Wewe Mkuu Halafu Kuwa Makini Mno Na Mafumbo Yangu Kwani YAMETUKUKA Vilivyo.
 
Wewe Punguani Nini! au Ndiyo Mwenyewe? Kuna Ugonjwa Gani Nimeutaja Hapo Labda Unaomuhusu?
huwa sibishani na watu kama wewe mana tukiendelea hapa tutajaza uzi 7bu wewe ni mpenda ligi za kipumbavu soma coment vizuri utaelewa hakuna sehemu ambapo nimeainisha ugonjwa wowote
tumia ubongo wa kati 7bu unasifa ya kuhifadhi kumbukumbu nyingi na kabla ujatokwa povu na coment zako za kipumbavu kama una haraka verify maneno yako kwa ubongo wa mbele 7bu unasifa ya kufanya kazi kwa haraka
ACHA KUTUMIA MAKARIO .
 
mkuu nakuheshimu,so jichunge niendelee kukuheshimu!halafu nshakuwa nna wasiwasi na kichwa chako we kibabu,kulikuwa na haja gani kuandika uozo wooote huo,si ungejibu tu vizuri,halafu hayo mafumbo peleka huko kwa majirani zako,hapa sio mahala pake.Nashangaa nakujitia ujuaji kote huko lakini huo mbichwa wako umeshindwa hata kuelewa kauli mbiu ya JF "where we dare to talk openly"...sasa hayo mafumbo hapa ya kazi gani!hii inadhihirisha wazi unachotaka kutuaminisha hapa ni upupu tu na uongo mtupu,na kweli wewe utakuwa unapelekeshwa na mihemko ya wivu tu...mafumbo peleka kwa wakwe zako sio hapa jf.
Nakuheshimu sana unajua,usilazimishe nikuvunjie heshima kwa kukosa kwako ustaarabu.
 

Wameshindwa MAJABALI Wewe SISIMIZI Utaweza? Siyo Kosa Langu Kukufanya Utumie Dozi Bali Laumu Ule " UHUNI " Wako a.k.a UFUSKA Ndiyo Umekufikisha Hadi Leo Unalipiga Gitaa Zuri La Solo La " Dally Kimoko ". Usisahau Pia Kesho Kwenda Kuchukua Dawa Kwani Huwa Mnazichukua Kila Jumanne Na Ijumaa Ktk Yale Majengo Yenu Ya SERIKALI. Pole Sana Ila Karibu Kwetu Rwanda Tuna Dawa Ya Hiyo " Kitu ".
 
Wivu utakuua,au ulitaka wenzako wasipandishe chumba cha huko juu ili upandishe pke yako daily?
 
Umemjibu vema huyo jamaa:
binadamu huwa tunajisahau sana kusemea watu mabaya Mungu ndo anajua siri ya kila mmoja!! Tuangalie ndimi zetu maana wewe unaejiona mzima Leo na kutoa kejeli kwa wagonjwa unaweza ukatangulia na kumwacha alie mgonjwa..!!

Tusiwe watu wa kutoa kejeli na Maneno ya kashfa ili kujifurahisha nafsi zetu na kudhani tunaweza mfurahisha kila mmoja..." hujafa hujaumbika"lolote laweza kutokea katika maisha yetu
 

Magonjwa Mengine Huwa TUNAJITAKIA Wenyewe. Tuache Kuwa WANAFIKI Humu! Kuna Mijitu Humu Inajifanya Kuwa Watu WEMA Na Wenye HURUMA Sana Wakati Usikute Wao Ndiyo WANYANYAPAAJI Wakubwa Na Hawahudumii Hata Ndugu Zao Wenye " Dally Kimoko ". Nitawaonea Tu HURUMA Wao Ambao Wamepata " Dally Kimoko " Kwa KUBAKWA, KUCHANWA Na Kitu Chenye Ncha Kali N.K. Lakini Wale Ambao Wameupata " Dally Kimoko " Kwa UMALAYA, UJINGA, SIFA Na UFUSKA Wao Wa Kujifanya Wao Ndivyo " Bandu Bandu " SIWAONEI HURUMA NG'O Na MTANISAMEHE SANA KWA HILI. Tusipopeana Haya MAKAVU Kamwe HATUTOBADILIKA Na Tutazidi Tu KUPUKUTIKA. Narudia Tena Kusema Na Tena Kwa MSISITIZO Kabisa Kuwa TUACHENI UNAFIKI Na TUSEME UKWELI Huku TUKIKEMEA Ili Vizazi Vijavyo VICHUKUE TAHADHARI.
 

Siku Zote SINDANO Yenye Dawa KALI Ndiyo HUTIBU Zaidi. Hata Wakati Naandika Nilichokiandika Nilijua Kuwa Nitawapata MAPOPOMA Wa Aina Yenu Ambao Mtatokwa Na MAPOVU Ila Sibadili Hiki Nilichokisema Japo Najua UKWELI Unauma Na Laiti Ungekuwa au Mngekuwa Na AKILI Mngenishukuru Kwa KUWA MUWAZI ILI TUWEZE KUWAKINGA NA KUWASAIDIA WATU WENGINE WENGI AMBAO NI HIKI KIZAZI Cha VIJANA Cha Sasa Ambacho KINAANGAMIA KUNAKOTUKUKA Kwa " Dally Kimoko ". au Nikudokeze Kiduchu Tu Kuhusu SCREENING Ya AMREF Kwa WASANII Wetu Hawa Wa KIBONGO Uanze KUTOKWA NA MACHOZI MAPEMA KABLA HATA ISRAELI Hajafanya KAZI Yake Kwao?
 
Haya ndo mafumbo yaliyotukuka? We jamaa bwana basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…