Nimemkumbuka Vengu wa Komedi

Kila nikiwakumbuka OK kipindi wanamuigiza Lowasa Mgonjwa ,nabaki kumfikiria huyu jamaa
 
Ukiigiza sehemu nyingine nuksi.Kuna jamaa mmoja alikuwa akipenda sana kuigiza nafasi ya ushoga mwisho kawa shoga kweli.
 
Nakumbuka Vengu alishawahi kuigiza kama yeye ni Mheshimiwa Mrema. Wakati huo kweli Mrema alikuwa anaumwa.

Fundisho kwa macomedian na hata watu wote kwa ujumla ni hivi;

1. Mfundishe mwanao tangu akiwa mdogo kutokumshangaa wala kumcheka mlemavu au mtu mgonjwa. Iwe kwenye basi au hata mtaani.

2. Usifanye mzaha na ugonjwa wa mtu wala ulemavu wake hata siku moja. Duniani mambo mengi hujirudia.

3. Mshukuru Mungu kwa uzima ulionao kila siku.
 
POLE ZAKE, MUNGU AMJALIE APONE NA AREJEE KWENYE MAJUKUMU YAKE
 
Unamaanisha jamaa anatapika na kuharisha mara 64 kwa wiki!!!!
Duuuuuh usiombe hii kitu ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…