Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
People tend to over estimate makosa yao kwa wapenzi wao hasa kama huo Mpenzi sio mlalamishi kabisa... Watu wamepishaana maamuzi na jinsi ya response tegemeana na aina ya watu ambao ni wapenzi wao... or nature yao wenyewe... Hivo huo dada nimem feel kabisa... I understand, thou our typical selfish non-sensitive men tend to underestimate yale yooote yamuumizao mwanamke na kuchukulia kama it is a minor thing...[/QUOTE]
Kuna siku itabidi niwaombe kina mama wanieleze ni nini hasa wanataka katika mahusiano na ni vitu vipi vikifanywa na mwanaume ama vinawafurahisha ama kuwachukiza. Hilo ni eneo ambalo siku zote bado huwa napata maksi za chini sana pamoja na kuwa huwa najitahidi sana kuwa makini.
Kwa nini thread zako kila siku zinaanza na neno TUCHUKULIE?
jichunguze inawezekana una matatizo hayo aliyoyataja..........
People tend to over estimate makosa yao kwa wapenzi wao hasa kama huo Mpenzi sio mlalamishi kabisa... Watu wamepishaana maamuzi na jinsi ya response tegemeana na aina ya watu ambao ni wapenzi wao... or nature yao wenyewe... Hivo huo dada nimem feel kabisa... I understand, thou our typical selfish non-sensitive men tend to underestimate yale yooote yamuumizao mwanamke na kuchukulia kama it is a minor thing...
Kwa nini thread zako kila siku zinaanza na neno TUCHUKULIE?
Laiti wote tungekuwa tunajichunguza.....
NN ni kweli tunakuwa hatufanyi hilo
Haya Maswali yako bwana hivi huwa ni wewe mwenyewe unayaweka kama mfano ndugu Mtambuzi?
wanawake ambao siyo waongeaji sana wanakaa na vitu rohoni, mwisho wa yote anaamua sasa basi.
Kuna siku itabidi niwaombe kina mama wanieleze ni nini hasa wanataka katika mahusiano na ni vitu vipi vikifanywa na mwanaume ama vinawafurahisha ama kuwachukiza. Hilo ni eneo ambalo siku zote bado huwa napata maksi za chini sana pamoja na kuwa huwa najitahidi sana kuwa makini.
Umeongea ukweli mtupu AshaDii, unakuta mwanamke mpole, au alishawahi kusema siku moja akapata response ambayo sio nzuri, na hata akapata majibu kabla hata hajamaliza kueleza anachotaka kusema, ukweli kuna wanaume ambao hawana mda wa kusikiliza mawazo au kujua hisia za wake zao, kila anachofanya mke sio sahihi. Mtu wa aina hiyo haina haja kuendelea kulumbana nae, unavumilia utakapoona umeshindwa unasepa. Maisha popote Bwana, kwa nini uishi kwa machungu na maumivu siku zote?